BET Awards waliamua kuweka vipengele viwili vya Best International Act kwa Afrika na UK ili kutambua ukubwa wa viwanda ya muziki katika maeneo hayo. Hata hivyo vipengele hivi hutolewa saa chache kabla ya show yenyewe ya utoaji tuzo hizo ambazo huhusisha vipengele vyote vinavyoshindaniwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.