Recent content by makasha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Habari wanajamii forum, naomba kuuliza, nikikaa muda mrefu kwenye kiti au nikilala baada ya kuamka na kuanza kutembea visigino vinauma sana kama dak 5 hv ndo narud kwenye hali yangu ya kawaida, na hili tatzo ni linajirudia kila nikikaa au kulala na kuamka. Naomba msaada tatzo ni nn? Asantanen sana.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Visigino kuuma

    Habari wanajamii forums! Naomba kuuliza, nikikaa muda mrefu kwenye kiti au nikilala baada ya kuamka na kuanza kutembea visigino vinauma sana kama dak 5 hv ndo narud kwenye hali yangu ya kawaida. Hili tatzo ni linajirudia kila nikikaa au kulala na kuamka. Naomba msaada tatzo ni nn? Aksanten sana.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

    naomba kujua kama kuna evining classess kwa bachelor of computer eng.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Degree ya ICT Vyuo vya Dar es Salaam( Evening Classes)

    Wakuu habari za majukumu, Naomba msaada wa vyuo ambayo vinatoa degree ya ICT, Computer Science au IT vilivyopo hapa Dar es Salaam kwa evening classes. Asanteni.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Evening class DIT Bg. in computer engeneer

    Habari za humu wakuu??, naomba kuuliza kwa wenye ufahamu kuhusu Bachelor of eng in COMPUTER kwa pale DIT kama kuna evening classess. aksanteni sana.
  6. M

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya tatu ya mikopo 2015/16

    hujapata kaka.
  7. M

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya tatu ya mikopo 2015/16

    umepata kaka, hongera.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Vyuo vinavyotoa shahada za computer(evening classes)

    aksante sana mkuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Vyuo vinavyotoa shahada za computer(evening classes)

    Wakuu habari za majukumu, samahani ninaomba mnifahamishe vyuo ambavyo vinatoa degree ya ICT/IT/COMPUTER SCIENCE/BUSSNESS IT au related course, kwa Dar es salaam. Lakini iwe session ya jion{ EVENING CLASSESS}. Aksante.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Vyuo vinavyotoa shahada za computer(evening classes)

    wakuu habari za majukumu, samahani ninaomba mnifahamishe vyuo ambavyo vinatoa degree ya ICT/IT/COMPUTER SCIENCE/BUSSNESS IT au related course, kwa Dar es salaam. lakin iwe session ya jion{ EVENING CLASSESS}. Aksante.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Loan allocations

    HIGHER EDUCATION STUDENTS' LOANS BOARD FRESHERS' LOAN ALLOCATIONS FOR ACADEMIC YEAR 2014/15 To view your Loan Allocation, kindly type your Form IV Index number in the space provided and Type in the security...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Documents za kuanzisha au kufungua kampuni

    kaka naomba na mimi uni2mie, chagulas@gmail.com
  13. M

    JamiiForums Tanzania Salary Scale: PGSS 11 ni sawa na tsh ngap wana jamii?

    Maomba msaada wana jamii hivi Salary Scale: PGSS 11 ni sawa na shiling ngap za kitanzania??
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Gas and Oil Personnel Training Program

    aksante ndugu kwa ushauri
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Gas and Oil Personnel Training Program

    aksante sana ndugu, mapema 2 kesho ntawapatia updates za bw PETER MBONDE
Back
Top Bottom