Wadau
Jana Ndugu yangu ninayeishi naye amepokea simu ya KUITWA KAZINI TPDC. Na ametakiwa kuripoti kuanzia leo na mwisho ni tarehe 15/09/2014, ni kwa wale waliofanya usahili mwezi wa tano. Hivyo kaa tayari. WANATUMIA SIMU ZAIDI
Hilo nalitambua kuwa wameitwa wa Uhandisi. Nazungumzia wale waliofanya mwezi wa tano sio mwezi wa nane. Na waliofanya mwezi wa tano walikuwa ni kada tofauti tofauti sio biashara pekee. Hao ndio ninaouliza habari zao sio hawa wa mwezi wa nane
Hivi karibuni TPDC wameita wasahiliwa wa mwezi wa nane kazini. Lakini kabla ya hapo kuna usahili wa awali ulifanyika mwezi wa Tano msimbazi center na maeneo mengine. Na usahili ulimalizika kilichokuwa kinasubiriwa ni majibu/kuitwa kazini. Sasa NAPENDA KUULIZA KUNA YEYOTE ALIYEFANYA USAHILI MWEZI...
Na kwa wale ambao walifanya interview mwezi wa tano, niliongea na ofisi ya HR akaniambia kuwa muda wowote kuanzia kesho majina yataachiwa hewani (website ya TPDC) na simu hivyo yote yana wezekana
Asante kwa taarifa ndugu yangu.
Umepata fununu zozote kwa nafasi nyingine ni lini? Au utaratibu wao wa kuita upo vipi? Kama una clues tushirikishe ndugu yangu
Wadau Habari za leo
Tafadhali sana naomba anayeweza kuniambia Mshahara wa Afisa/ mtumishi anayefanyia Bandarini yaani Scale ya TPS-2 ni sawa na kiasi gani za Kitanzania??
Nashukuru sana kwa msaada
Kaka naomba nikuambie kitu hapa
Kuna watu wanakushauri vema lakini wanaongeza na Bias zao lakini ukweli ni huu:
Kwanza nimeona mdau mmoja amekuambia kuwa TPDC wapo lumumba, hapana. Interview mnafanyiwa Ofisi za Mikocheni karibu na ROSE GARDEN (ULIZA BRAJEC) Kwenye makazi ya Watumishi wa TPDC...
Huna haja ya kufanya magumashi na vitu visivyo na uhakika. Taratibu za kuhama zipo wazi kutoka wizara moja mpaka nyingine, kinachohamishwa ni payment center, au unaweza kuhama kutoka idara moja mpaka nyingine. Huna haja ya kfanya ujanja ujanja. Andika barua kama itifaki inavyotakiwa na bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.