Recent content by Makaliwilliammkumbo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wastaafu Mkapa / Jaji Augustin Ramadhani watumiapo lugha zisizolingana na nafasi zao

    Ni KWELI kabsa alijenga hoja ya wanaojiita wakombozi, wala SIO wapinzani. Hapa hakombolewi mtu, bali Mapinduzi ya fikra ambayo yanaweza kuwakomboa wa TZ kiuchumi na mifumo mbalimbali. Excellence unbiased analysis. Asante
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kila maradiliko yana gharama zake, mmejipanga? Na mmejipangaje wana Ukawa na CCM?

    Ni KWELI mabadiliko hayazuiliki. Na mwaka huu NDIO MBIU KUU katika uchaguzi wa mwaka huu. Swali KUU, je mpo tayari kulipa gharama? Maana gharama ni ZAIDI ya maandamano na kua waandishi wazuri kwenye JF Huku tukiwa tumejificha humu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wapo wengi watapishana na mafisadi ndani ya CHADEMA, watatoka wengi sana

    Nakuunga tano zote mbili.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha upinzani baada ya Uchaguzi

    Pungunzeni jaziba, angalieni hoja. Jaziba SIO jibu WAKUU ZANGU.
Back
Top Bottom