Recent content by makalango

 1. M

  NIMECHAGULIWA IAE bachelor of education in adult education and community development nipeni abc za hi kozi

  Mimi mwenyewe nimechaguliwa hiyo adult education sema mimi ni adult education and distance learning
 2. M

  Naomba ushauri wa Vyuo vya Afya vya Serikali

  Awahi dirisha la nacte elfu 10 chuo kuomba atapata ukishindwa nitafute
 3. M

  Naomba ushauri wa Vyuo vya Afya vya Serikali

  Weka ufaulu tuone jinsi ya kumsaidia
 4. M

  NBS washaita watu kwa usahili?

  Nami nasubiri hili mana inaekekea mwezi tangu wafunge kupokea maombi huenda wameita watu kimya mana walisema watakaokizi vigezo watajulishwa
 5. M

  "Visit Tanzania" ya Simba SC ni nzuri lakini...

  Wewe uliskia wapi au ulikuwepo wakati wanasaini mkataba wakasema ni bure? Sasa kama ni bure wamesaini mkataba wa nini acha choko choko bwana wewe andaa yenu visit kidimbwi.
 6. M

  Jamani ni course gan itamfaa mtu alie pata D masomo yote isipo kuwa mathe amepata F

  Bora huyo wako mimi nina mjomba angu ana d mbili na C moja nawaza nimpeleke wapi sijui veta man hana sifa ya d nne kwenye masomo yake ilibaki d moja nawaza acha tu.
 7. M

  Inachukua muda gani kuwa approved na approver ili kupata check number na kuanza kupata mshahara endapo taarifa zako zimeisha tumwa

  Mimi mwenyewe hili linanihusu nimehama halmshauri moja kwenda tasisi ila mshahara bado napokelea huko niliko kuwa zamani sijui nafanyaje niliko toka afisa anasema katuma dodoma kwa aprover
 8. M

  Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

  Mkuu ptss 6 ni sh ngapi basic na baada ya makato sh ngapi
 9. M

  Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

  Msaada salary scale ya ptss6 baada ya makato take home ni kiasi gani?
 10. M

  Patandi teachers college

  Inatoa ili usome hiyo diploma uwe na diploma ya kawaida
Top Bottom