In addition,mji hauruhusu interaction utakua kwenda wapi!?
Kununua ardhi na Kupanga kwenyewe unaulizwa kabila na dini dah huo mji mgumu sana,,,
Nahis ndio mji unaongoza kwa rushwa na kukwepa kodi,,not researched but its distinct from all places I ever been kwenye janja janja za rushwa na ndio...
Kujiajiri si jambo rahisi kama wengi wanavyodhani.Wanasiasa na viongozi wanasisitiza kujiajiri wakisahau wajibu wao wa kuweka mazingira wezeshi ya kujiajiri.Japo wakati mwingine tunawajibika kujiajiri kwa sababu ya ukosefu wa ajira uliopo.Andiko hili linalenga kuainisha uzoefu wangu binafsi wa...
Sekta ya afya ina mchango mkubwa sana katika maisha ya kila siku kwa kila mmoja katika taifa,hii inapelekea akili yangu kuwaza sekta hii ina uelekeo gani.Je,inaleta anguko ama inaleta maendeleo katika jamii?.Tazama jinsi mnyororo wa afya ulivyo na athari katika jamii,iwapo mtu mmoja ambae ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.