Recent content by MAKALA

  1. M

    Nape Nnauye: Mama anastahili kuongezewa muda, akimaliza 2025 tumchague tena hadi 2030

    Mama aongezewe muda tafazali .sababu ziko nyingi sana .naziandaa ntaziweka humu. Kikubwa huyu mama anakwenda kufanya mapinduzi makubwa ya kilimo kwa kuruhusu uuzwaji wa mazao ya wakulima nnje bila vikwazo vyovyote .ule uzuiaji wa kuuza mazao nnje ilikua ni ujinga mkubwa sana. Mama aendelee tafazali
  2. M

    Ni wakati sasa kwa Serikali kuzuia uuzwaji wa mazao ya chakula nje ya nchi

    Serikali ya mama naipongeza kwa kuziba masikio kuhusu suala la kufunga mipaka ili bei ya chakula ipungue nasema hivi kwa sababu zifuatazo. 1. Bei za mbolea zimepanda so lazima mazao yapande bei. 2.mafuta yamepanda bei so lazima vitu vipande bei. 3. Mwaka huu hakukua na mvua za kutosha so mavuno...
  3. M

    Ushauri: Nimechoka na hii hali ya kuachwa na wanaume

    pole sana. hebu ni PM nikupe ushauri utakaokufungulia milango.
  4. M

    Hussein Bashe: Membe amuache Rais Magufuli afanye kazi

    hongera bashe. kwa kueleza ukweli. daima ukweli na uwongo haukai pamoja. makufuli usikatishwe tamaa na membe ww fanya kazi . badili mfumo uliooza kwa manufaa ya watanzania walio wengi. maamuzi anayofanya makufuli ni kwa manufaa ya nnchi na sio manufaa yake. safari ya kutumbua majipu haitakua...
  5. M

    Rais Magufuli: Pesa za Uhuru zijenge barabara ya Mwenge-Morocco Dar es Salaam

    Shikamoo makufuli.this is wonderfully.bora awe rais wa maisha.
  6. M

    Magufuli aachwe na tumuunge mkono Watanzania

    Twamuunga mkono kwa nguvu zote.
  7. M

    Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

    Sioni ubabe au ujeuri wowote . Nazani unalako jambo sio bure.
  8. M

    Dawa ya kuua mimea kabisa udongoni kabla ya kuweka pavements

    ok. hiyo basophite naweza ipata api kwa hapa dar?
  9. M

    Edward Lowassa aungwa mkono na Wamarekani (USA)

    hilo jembo lowasa liko vizuri mno, yaani ww acha tu. loaa oyeeeeee.
  10. M

    Dawa ya kuua mimea kabisa udongoni kabla ya kuweka pavements

    Hi guys. ni muda sasa nimekua nikitafuta dawa ya kumwaga arthini kabla ya kuweka pavements kwenye car parking areas, lakini sijafanikiwa. nilienda kariakoo nikapewa feki . twiga chemicals wanasema hawana. TFDA wanasema hawana hebu anayejua anisaidie niweze kwenda nunua .
  11. M

    Mkakati: Lowassa kuhamia UKAWA

    huyu ni mpiganaji wa kweli hawezi kamwe kuikimbia ccm , ni mtu amefanya vitu vingi tumeviona hasa alipokua waziri wa arthi na alipokua waziri mkuu , ni mtu ambaye binafsi kama atapitishwa niko tayari kumpigia kampeni kwa nguvu zote. naomba mola ampe afya njema LOWASA ili aweze penya mtihani huu...
  12. M

    Utafiti Mpya ni Lowassa tena, Pinda wa pili

    karibu ikulu lowasa . huyu bwana ni mtu makini sana. mungu aendelee kumpa afya njema. amina
  13. M

    Utafiti Mpya ni Lowassa tena, Pinda wa pili

    lowasa will be our president no question about that. karibu magogoni mr. mamvi.
  14. M

    Nawezaje fikisha mchango wangu wa vijisenti kidogo kambi ya Lowassa?

    Habari jamani hapa jamii forum .ni muda sasa wa takribani miezi mitatu bila mafanikio yoyote nimekua nikijaribu kutafuta uwezekano wa japo kutoa kamchango kadogo kwa kambi hii ili iweze kufanikisha malengo ya kumuweka jembe (LOWASA) madarakani kwenye uchaguzi ujao wa uraisi, ni kwa nini nimeamua...
  15. M

    Gen. Ulimwengu: As the race to succeed Kikwete hots up, Lowassa is the man to watch

    To me lowasa is the right candidate. He is tough, serious
Back
Top Bottom