Recent content by Makajuvi

  1. Makajuvi

    JamiiForums Tanzania Eric Shigongo azungumzia jinsi Tanzania ilivyo na rasilimali zenye utajiri

    Ukiwa mtu wa mihemko ni ngumu kumuelewa Shigongo lakini anajitahidi kuwatetea Watanzania bungeni ili wamiliki uchumi wa nchi yao. Alipambana mpaka sheria ya manunuzi ikabadilishwa na sasa tenda zote za mpaka bilioni 50, hazifanywi na wageni, lengo ni kuwasaidia wazawa.
  2. Makajuvi

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

    mwana mtoka pabaya
  3. Makajuvi

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

    Mijitu mingine bana, gawa yako kwanza
  4. Makajuvi

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

    Dah! Mmemuelewa huyu mtu jamani? Kwa nini usiandike Kiswahili tu, poor you!
  5. Makajuvi

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

    Hopeless
  6. Makajuvi

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

    Kuna watu wagumu sana wa kuelewa, hivi darasani ulikuwa unapataga ngapi vile?
  7. Makajuvi

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

    Alisikika mlevi mmoja
  8. Makajuvi

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

    Usi-divert hoja mkuu!
  9. Makajuvi

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

    Mtabaki hivyohivyo! Mnakwepa kujadili mada mnaleta visingizio
  10. Makajuvi

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

    Mekupenda bure Mariana japo tunapishana mitazamo
  11. Makajuvi

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

    Sio wote! Nakataa
  12. Makajuvi

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

    Dakika tatu ni kama unapiga stata tu, yaani kama ni msosi umeanza kutoa bites halafu unaishia hapo wakati mi nna njaa!
  13. Makajuvi

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

    Unanisingizia mkuu, mi sinaga unafki, kama ni mimi ningefunguka
  14. Makajuvi

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

    Mwanamke hulka yake kubembelezwa, sasa unataka mimi ndo nikubembeleze wewe, yaani chakula nikuandalie halafu nikubembeleze kula? Hapo ndio mnapokwama!
  15. Makajuvi

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

    Unaacha kujadili hoja unajipa matumaini na jinsia, ngastuka, na wewe upo kundini?
Back
Top Bottom