Recent content by Maka99

  1. M

    Hii ndio mbinu bora ya kuuza bidhaa zenye bei kubwa.

    Sales team wengi kuna kitu wanashindwa kufanya, ama kwa kujua au kutokujua. Kwenye sales strategy, sales manager lazima awafundishe sales representative time management, occasional, & how to establish conversations with customers. Sasa utakuta mtu kakukuta unapanda daladala umechoka sa 10...
  2. M

    Hii ndio mbinu bora ya kuuza bidhaa zenye bei kubwa.

    Hamna mkuu, hatuwezi shindwana
  3. M

    Hii ndio mbinu bora ya kuuza bidhaa zenye bei kubwa.

    Kwenye mfululizo huu nitaandika namna unatakiwa kuzungumza na mteja ili usionekane Tapeli 😂
  4. M

    Hii ndio mbinu bora ya kuuza bidhaa zenye bei kubwa.

    Moja ya kazi ngumu kwa mfanyabiashara/mtu wa mauzo. Ni kuuza bidhaa/huduma za bei kubwa kubwa. …..Kuna sababu nyingi tu ambazo huchagiza hali hiyo Ikiwemo kupoteza pesa nyingi kwa wakati mmoja (financial risk) Au hicho kitafanya kazi iliyokusudiwa ? (functional risk) Au watu watanicheka...
  5. M

    Utakuwa unakatiwa simu mara nyingi, usipozingatia haya unapopiga simu kwa wateja (kwenye sales)

    Imekuwa kawaida kwa watu wa call center Kutoka taasisi mbali mbali kupiga simu kwa wateja Hasa pale taasisi inapoamua kufanya sales kupitia kupiga simu. Tunajua sales is a game of number sio? How many calls you make per day, give you reflections to your sales volume. Kama hujui haya mambo...
  6. M

    Sokoni zinapuuzwa biashara zote zisizozingatia mambo haya matatu

    Unavyotengeneza mbinu (strategies) mbali mbali za biashara. Basi bidhaa (product) inaingia, kuwa miongoni mwa mbinu (strategies) zako. Hapa tunapata kitu kinaitwa, setting product as a strategy. Kuna msemo unasema "at the heart of a great brand is a great product " Ili kupata uongozi sokoni...
  7. M

    Heri ya siku ya vijana Duniani

    Leo ni siku ya vijana duniani, ni vyema isipite hivi hivi bila kutia neno kwa vijana Sore tunajua moja ya kundi lenye ushawishi na nguvu, ni vijana Moja ya kundi ambalo hutajwa kama taifa la kesho ni vijana. Japo vijana sio taifa la kesho tena, bali taifa la sasa. Moja ya kundi ambalo...
Back
Top Bottom