According to thread ni kwamba walioteuliwa hawana uwezo wa kuwa wenyevit wa kamat hizo.. c dharau hizo sasa yani wabunge wako useme hawana uwezo sasa lini watakua wana uwezo
Tafuta picha za ufunguzi wa meli ya kivita ya kenya uone kenyata alivaaj? Ilikua mwaka jana.. watanganyika tuache kushabikia vitu visivyo vya msingi... Hiv mbona wakienda viwandan huwa wanavaa helmet,reflectors... Sasa alipoenda kwenye medan za vita akivaa gwanda kuna tatzo gan wakat yy ni CIC
defensive mechanism ya nn. rais ni amir jesh mkuu. lazma ahoj kwa nn ni vle.. wale ni peace keapers hawakwenda kule kivta ingekua hvyo tungewasaka wenyewe.. co mnaponda tumien logic sme tyms..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.