Ok,ongea nae aende kwa ndugu yake yoyote kama ni msaada utaendelea kumpa akiwa huko,sababu anatakiwa apate mtu wa kumsaidia mimba inazidi kukua na akijifungua pia lazima awe na mtu wa kumsaidia.
Umekosea kukubali kuwa mimba ni yako,ila usiache kumsaidia huyo dada cha kufanya muandikishane makubaliano yenu serikali ya mtaa na polisi pia kwasababu unakaa nae bila idhini ya wazazi wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.