Recent content by Major-2-Battalion

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

    Sahihi,freemasonry is all about principles.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

    Uongo mtupu,wewe uko brainwashed na religion,nothing else.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

    Nyimbo kama zipi,naomba tatu tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

    Sahihi,ila usahihi wake hakumfanyi kuwa miongoni mwao.kuna sehemu anapuyanga pia.hivyo anaweza kuwa mdadidisi tu kama wadadisi wengine,but Kwa kiasi kikubwa ana knowledge kuhusiana nao.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

    Kwa miaka nliotumia kuwafuatilia Hawa jamaa,he knows.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu rafiki yangu anaweza kuwa mtu wa aina gani?

    Uko sahihi sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Atobolewa Jicho na kung'olewa meno mawili kisa wivu wa mapenzi

    Usiseme hivyo mzee,wanaume wanapitia changamoto nyingi sana,inahitaji uvumilivu wa Hali ya juu aisee,mwanamke anaweza kukufanya mateka ndani ya nyumba yako,ukiona mtu anampiga mtu kufikia Hali kama hiyo ujue yamemfika.binafsi navyoandika hapa napitia changamoto kubwa sana,kubwa sana,najaribu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Atobolewa Jicho na kung'olewa meno mawili kisa wivu wa mapenzi

    Sikatai ila kila Mmoja na kiwango cha uvumilivu,je ulishajua mwisho wa uvumilivu wako?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Atobolewa Jicho na kung'olewa meno mawili kisa wivu wa mapenzi

    Hakuna aliewahi kufaulu mtihani wa ndoa au mahusiano,it's just inatokea upande Mmoja unakubali unaumia sana na mwingine una survive,hivyo usiweke reference yako kama mtaalamu,we both know that these issues remains purely subjective. Ukiona wawili wamedumu basi uelewe Kuna mmoj amekubaki kuwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Atobolewa Jicho na kung'olewa meno mawili kisa wivu wa mapenzi

    Pisinina tattoo,kaanmali na pisi zenye matattoo
  11. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Maziwa fresh ni tiba sahihi ya tatizo la vidonda vya tumbo

    Sio vizuri kuweka namba ya mtu hapa Bila ridhaa yake ndugu yangu na hafanyi biashara.
  12. M

    JamiiForums Tanzania True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

    Ulichoandika ni rubbish.la kujifunza hapo ni kuwahi dawa hizo endapo mtu amejiingiza katika Hali kama hiyo,kupitia Hilo unaweza okoa watu wengi,hukuwa na haja ya kuelezea ujinga woote uliofaya.simple!
  13. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAHADHARI: Afisa TRA ahatarisha maisha ya wakazi Mbezi Juu Kwa Sanya kwa kujenga ghorofa 4 bila kibali, kwenye msingi dhaifu wa nyumba ya chini

    Kun kitu inaitwa big fish,big fish wakizinguana dagaa unatakiwa kukaa pembeni,ukiona wenye ukwasi wanakwaruana ujue Kuna michongo wameshazulimiana.Ndio mana wengi wanaishia kukimbilia kwenye siasa.masuala ya madai ya Kodi hasa za kufikishana mahakamani Kwa kesi za uhujumu yako deeply rooted.Sio...
  14. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAHADHARI: Afisa TRA ahatarisha maisha ya wakazi Mbezi Juu Kwa Sanya kwa kujenga ghorofa 4 bila kibali, kwenye msingi dhaifu wa nyumba ya chini

    Ukibambikiwa Kodi nenda kashtaki,ukikubali kubambikiwa basi ni unyonge.kuna watu wanashindwa kufanya biashara Kwa sababu ya makadirio ya Kodi.Tatizo jingine watanzania hatupendi uwazi,unapewa grace period ,halafu ikifika muda wa kuonesha return ya biashara unambwela mbwela.Tatizo kubwa Lina...
Back
Top Bottom