Ndugu yangu, adhabu ambazo zimetolewa si ukikwaji wa haki za mbunge, ila tatizo ni kuwa hao wabunge wameshindwa kubebeka au wamekuwa wakikosa adabu kila kuchwapo, ni vema wajifunze kutii kanuni bila ya shurti, kumbuka kuwa hawajafukuzwa Ubunge ila wamepewa adhabu kwa mujibu wa kanuni.
Nadhani wewe ndo hufahamu kitu kabisa, Mbunge ni kiungo au ni mwakilishi wa wananchi waliomchagua kwenda au kuyapeleka Bungeni, kama hatakuwepo Bungeni kwa takrabani nusu mwaka, je ni nani atawasemaya wananchi Bungeni? Yeye ni Mbunge wa jimbo analotoka la Kawe na si Mbunge wa Chadema kwa kuwa...
waswahili wanasema usigombane na ukuta kwani utaumia mwenyewe, Baadhi ya wabunge wa upinzani wanapenda sana kubishana na kiti cha spika, wakumbuke kwamba kinachotumika hapo ni kusoma kanuni zilizotungwa na Wabunge wenyewe, hivyo wasianze kulalamika kuwa wanaonewa, watii kanuni za bunge hakuna...
Hujui unachokisema, hakuna uhuru usio kuwa na mpaka, Mbunge anaweza akasema lolote lile lakini hawezi kuvuka mpaka wa kanuni au sheria zilizopo, Ninaamini kama Mnyika angetii pale alpoambiwa na spika hayo yote yasingemkuta ya kubebwa msobemsobe kama gunia la mahindi. Nawaomba wabunge na hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.