Recent content by majid salim

  1. majid salim

    Msaada: Kupaka mafuta ya dread

    kwan dread zinakuwag wp kam kun sehem nyingine ambayo ww unajuw uniambiy acha kuhoj maswal ya ajab
  2. majid salim

    Msaada: Kupaka mafuta ya dread

    Samahani kidog kam unawez kunijib kam nilivo kuambiy mwanzo kwamba vyakwang ni vidog na ww ukaniashauri kam ni vidogo unawez ukaweka mafuta kwenye mkono wako na kujizungusha sas mm nilikuw natak 2 nijuw ni kila siku niwe napak au kila week samahani lakin kam ntakuw nakusumbua.
  3. majid salim

    Msaada: Kupaka mafuta ya dread

    😀😀 hay bhn shukrani
  4. majid salim

    Msaada: Kupaka mafuta ya dread

    nilikuw natak nijifanyie mwenyew ili kuepush garam mafuta tayar nimesh nunua je unawez niambiy acont ya kutembelea you tube
  5. majid salim

    Msaada: Kupaka mafuta ya dread

    Asant umekuw unanisaidia San mara nyingi
  6. majid salim

    Msaada: Kupaka mafuta ya dread

    Sasa unaweza kujipaka mwenyewe au had uend saloon za kwang bd ni fupi
  7. majid salim

    Msaada: Kupaka mafuta ya dread

    Habari zenu wakuu nilikuwa nahitaji msaada wenu mm nimeanza kufuga dread na kama week ya 3 hivi lakini sijawahi kutumia mafuta yeyote yale coz mimi nilisokota na sabuni 2. Sasa leo ndo nimenunua mafuta sasa ya dread sijui jinsi ya kutumia unatumia kila siku au katikati ya week au mwisho wa...
  8. majid salim

    Nataka kufuga dreadlocks je kunakuwaga na mafuta ya kusokotea au hadi uende saloon?

    Nilikuwa nataka nifanyie home 2 unaweza kuniambiya mafuta yanaitwaje msaada wako tafadhali
  9. majid salim

    Nataka kufuga dreadlocks je kunakuwaga na mafuta ya kusokotea au hadi uende saloon?

    Wakuu mpo salama . nilikuwa nahitaji ushauri wenu nilikuwa nataka kufuga dreadlocks je kunakuwaga na mafuta ya kusokotea au hadi uende saloon na ukienda saloon inakuwaga ni bei gani kutengeneza kama so lazima sana kwenda saloon kwa mtu ambaye anajuwa mafuta ya kusokotea naomba aniambiye maana...
  10. majid salim

    Kwa anayejua dawa ya mafua naombeni mnisaidie

    no bad sijaend nahis haya mafua yatakuwa ni allergy
  11. majid salim

    Kwa anayejua dawa ya mafua naombeni mnisaidie

    umeongea kitu cha kwel itabid nikamuone doctor
Back
Top Bottom