Fahamu mgawanyiko na mabadiliko ya volt hasa kwenye tv circuit.kuna mabadiliko volt, yanatokea kwenye bahadhi ya circuit capacitor 160V DC, zinarange 110V/102V DC, nikwaajili ya horizantal na matumizi mengine ya flyback transiformer(FBT) 35V DC, range 20V hadi 27V, nikwajili ya vertical IC sasa...