Recent content by MAJA2011

  1. M

    Lema afunua siri za muafaka wa madiwani Arusha

    Nawapongeza makamanda wa chadema na kazi nzuri wanayofanya ya kuwaamsha wana wa tanganyika to usingizini wakati rasimali za taifa lao Tanganyika zikiporwa na kikundi kidogo tu cha watu(majambazi) kisichozidi 10,000 kati ya watanganyika 40,000,000.Na nawapongeza wana wa arusha kwa kuamka na...
  2. M

    Uko wapi uwajibikaji??

    Hali mbaya na Matatizo yote ambayo wananchi wanayapata kwa sasa ni haki ya msingi.Hii ni kutokana na kutokuweka utaratibu(kikatiba na kisheria) kwa tunaowapa nafasi katika taasisi za uma kuwajibika na wakishindwa kufanya hivyo sisi wananchi tuwawajibishe.Tujadiliane na tuwe na muafaka wa kututoa...
  3. M

    Rostam! - Tafadhali Bwana

    Ndugu Mwanakijiji, Nakupongeza kwa maoni na uchambuzi wako juu ya hutuba ya Jamaa yatu RA aliyoitoa kwa wazee wa Igunga wakati akijivua gamba.Ni ukweli usiopingika kuwa huyu jamaa si mwenzetu na si mzalendo,nakuunga mkono kwa hilo.Na pia ningependa kuona wananchi wanachukua hatua zaidi ya...
Back
Top Bottom