Hello
Naitwa Octavian mwenye umri wa miaka 37.Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri kuanzia 28 nakuendelea.
Awe mkristu,kabila lolote.
Kazi yangu nimejiajiri . Aliye tyr aje pm tuyajenge au anicheck whatsap +255776110821 karibu Sana
Heri ya krismas na mwaka mpya,Kwanza tumshukuru Mungu kutupa afya njema tunakutana tukiwa watu wapya wenye nia ya kudumisha udugu na upendl kwa rafiki zangu ninao wajua ,jamana waungwana ndugu sio mpaka mzliwe pamoja ni pale mtu anapokua na kukuthamini kwa kila kitu yupo tayari kujitoa kwa hali...
Soma vizuri uielewe najua huwezi elewe ukiangalia kwa negative altitude bali ni hazina kubwa hayo maelezo.Tafakari mara mbilimbili ndio utapata maana nzuri . Nimetumia lugha ngumu kwa asie nania hawezi kuelewa
Habari wana JF,
Nimemaliza chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe kufanya kazi binafsi ya kusafisha mazingira hususani kuzoa taka pamoja na kuzibua vyoo ajira hii inanisaidia kupata ridhiki kwa maana ajira hakuna.
Kuandika wasifu huu mfupi namna ninavoendesha maisha nilkua sina jinsi...
Habar wana jf, Mimi ni mtanzania halisi najitokeza Kwa mara ya kwanza kutafuta mke Wa kuoa.
Jina : Deric Mabala
Umri wangu : 34
Kabila langu : Mbende
Mahali napoishi :Dar es salaam
Elimu yangu :Chuo kikuu
Rangi na muonekano :Mweusi wakawaida
Dini :mkristu
Urefu wangu : 5.6Ft
Umbile : Mnene kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.