Recent content by Maindi Matete

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Vipi Kwa Anaeijua Vizuri MBOGWE GEITA Na Fursa Zake.kama Unaishi Huku Nielekeze Tafadhali
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Nimepangiwa Mbogwe Geita Na Sipajui Na Hata Njia Ya Kufika Huko Nimekoswa Mtu Kunielewesha.ntafikaje Toka Arusha? Naomba Mnisaidie Maana Nasikia Mambo Ya Maisha Magumu Sana Huko. Duuu Mungu Awe Nami Kwa Hili
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jamani ukerewe daaaah !

    Ukerewe Kwetu.pazuri Sana.maji Kila Kijiji,umeme Kila Kijiji.usiogope ,ww Njoo Utapapenda.samaki Ni Wakutosha Kabisa Na Hao Ndo Watakufanya Uipende.barabara Safi Kabisa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imefuria

    Haya Bwana Maana Hali Mbaya Mtaani.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imefuria

    Kuna Ukweli Asilimia Ngapi? Maana Watu Tunazisubilia Kwa Hamu Sana
  6. M

    JamiiForums Tanzania NEW: Tetesi AJIRA WAALIMU

    Subiri Kidogo Kijana.ni Mwezi Huu Ndo Watatoa.kuwa Na Subira Kidogo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa UDSM undergraduate

    Jamani S0996/0130 2010. Phanuel Gatyo Charo Kachaguliwa Wapi Maana Nashindwa Kuingia Kwa Pdf
  8. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya SUA yapo hewani

    Mambo. mnaoweza Kucheki, Phanuel Gatyo Charo Kachaguliwa Chuo Gani Na Digrii Ipi? S0996/0130 2010
Back
Top Bottom