Wakati mwingine ijulikane kuwa kutetea uozo na uhujumu uchumi ni moja ya aina ya uhaini ifike mahali tuwe wajasiri tufanye mambo yetu kwa kujiamini acha lisu abwabwaje huko aliko taifa linasonga mbele. Mnaomuunga mkono hamna jipya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni masikitiko yaliyoje kudhulumu haki za raia/ wananchi wa Kijiji cha Kebweye! Viongozi wa serikali wilayani wanawaonea kwa kuwakamata na kuwaweka mahabusu ili hali wao ndo walishambuliwa na kuharibiwa mali zao ikiwa ni pamoja na kuchomewa makazi. Hebu ufumbuzi toka ngazi za juu zaidi ya mkoa...
Ni miaka takribani 38 bado suluhu ya ardhi ya Tarafa ya Inchage Kijiji cha Kebweye haijulikani.
Serikali yetu ni sikivu hebu ufumbuzi wa suala hili ufikiwe maana wananchi wamechoka kudanganywa na kwa sasa wanaishi kwa mashaka, kwa sababu vita inayoendelea inakwamisha maendeleo.
Ardhi ni mali...
Kuna malalamiko haya yasifumbiwe macho.
Wananchi wa kijiji cha kebweye wanadhulumiwa ardhi yao, na hili limefanyika tangu 1980 wakati kwa makusudi kabisa mkuu wa wilaya ya Tarime na hata mkuu wa mkoa walipoamua kulifumbia macho hadi sasa limekuwa donda lisilotibika.
Hadi nnapoandika mkasa huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.