Asante kwa Mawazo yako mkuu, hakuna sehemu nimeandika "sijajua cha kufanya" pia ni haki yako ku-"doubt" master degree yangu.
Lakini navyoamini mimi, mtu mwenye utashi kabla hajachukua hatua hata kama amefanya maamuzi, ni bora kukusanya mawazo mbali mbali ya kutosha, husaidia kupunguka kiwango...
Asante sana mkuu.
Side hustles zangu mostly ni utalaam yaani (expertise) kwa hiyo hamna mtu mwingine anaweza fanya zaidi yangu; so shule nayo haiwezi zuia kuifanya nadhani ndio nitakua sehemu sahihi zaidi ya kuifanya maana mostly ni zoom meeting sana
Toka nimalize undergraduate nilianza...
Kuna shughuli nazifanya mkuu, ambazo naokutana nao wakati wa ku defend proposal zangu.
Pia nikiwasilisha proposals za miradi naona wanachukulia pia mwenye PhD ana uzoefu sana.
Nashukru kaka kwa ushauri.
Siendi hivyo vyuo mkuu, ulaya salio halitoshi mkuu.
Familia itakufa njaa halafu usumbufu wa ticket za ndege, accomodation nk itanisumbua sana.
Wakuu naomba msaada wa mawazo kidogo; nilikua na kazi kwenye taasisi moja hapa nchini lakini nikiwa pale, kipato changu kikubwa kilikua kinatokea kwenye side hustles zangu sana japo na mshahara haukuwa sio mdogo sana (take home $1,200). Hizi side hustles nilikua nafanya kazi km expert kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.