Recent content by MAHUMA k

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Lollipop Mold

    Nashukuru Japo matapeli neo wengi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Lollipop Mold

    Unahitaji kuwa na vifaa kwanza hata baazi kwa ww unataka kujifunza huu ujasiliamali
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Lollipop Mold

    Asante.... japo nilihitaji kutoka kwa wauzaji wa hapa Tanzania make kutoka nje nafikiri ni gharama kubwa ..
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Lollipop Mold

    Mimi ni mjasiliamali naomba kusaidiwa mwenye kujua mahala ambapo naweza kupata wauzaji wa lollipops mold zinatumika kutengeneza pipi za vijiti.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kushtakiwa Mahakama ya Kimataifa kutokana na mahojiano aliyofanya na BBC

    MUNGU amjalie afya njema TUNDU LISSU
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wapi wanauza paraffin wax ya kutengenezea mishumaa?

    ahsante
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wapi wanauza paraffin wax ya kutengenezea mishumaa?

    kama unamawasiliano yao naomba unisaidie
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wapi wanauza paraffin wax ya kutengenezea mishumaa?

    asante! unaweza kujua pia ni mahali gani kwa mwanza
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wapi wanauza paraffin wax ya kutengenezea mishumaa?

    unaweza kua unafahamu pia kwa mwanza ni mahali gani tofauti na dar?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wapi wanauza paraffin wax ya kutengenezea mishumaa?

    Habari, Ndugu zangu, wanaofahamu mahali wanapouza paraffin wax inayotumika kutengenezea mishumaa kwa Mwanza naomba anisaidie na ikipendeza ama kwa mawasiliano yao itanifaa zaidi.
Back
Top Bottom