Recent content by mahmoud SALUM

  1. M

    JamiiForums Dr. Slaa avuliwa nguo, dili alilipanga Josephine. Alonga na Mwakyembe kabla hajaingia kwenye mkutano

    mnajua wakuu.Firauni alipoona wakati wake wa kuanguka kwa utawala wake alifanya kila awezalo kujiokoa lakini wapii alikwenda na maji. sasa huu mfano wa Firauni umesha ivaa CCM na wanazifuata njia zile zile za Firauni wanajijua kama THE TIME HAS COME 4 THEM 2 GO HAHAHAA.
  2. M

    JamiiForums Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Mimi nataka kikwete chama kimfie mikononi hasaa kwani yeye kikwete ni muislam jina au wavitendo ktk uislam, kama ni muislam vitendo swali langu ni hili kwake na kwa wanaomzunguuka; mbona maimamu na baadhi ya wasuasi wa uamshoktoka zanzibar amewaka mahabusu huko tanganyika na kuwazalilisha...
  3. M

    JamiiForums Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Nnajua wakuu kuhusu kuzuiliwa ukawa juu ya kufanya mkutano jangwani hili ccm wanajua kuwa hawawezi kuwazuwia ukawa wasifanye mkutano pale jangwani, ila walichofanya kuzuwia ni kupunguza idadi ya watu jangwani kwani ukawa wakitoa matangazo siku 7 kabla hapatotosha sasa wamejaribu kufanya watu...
  4. M

    JamiiForums Meet Samsung Galaxy note 5

    Laki nane na arubaini elf; 840,000 second hand
  5. M

    JamiiForums Tamko la Mbatia lisipuuzwe na Serikali hata kidogo

    Serikali ikosafarini, inafungafunga tayari kwa kumkabidhi funguo za maofisi kwa el.
  6. M

    JamiiForums Jussa na uwezekano wa kuwa Rais Tanzania?...

    Wakuu napenda kuelezea maelezo ya mada iliyoandikwa hapo juu, juu ya jusa kuwa hapendi muungano ni muungano gani asioupenda? Jusa na wazanzibar walio wengi wanapenda muungano kwani umoja ni nguvu lakini mtuelewe zazenji muungano tuupendao sio huu uliopo wa mkubwa kumdhulumu mdogo tuutakao ni...
  7. M

    JamiiForums Kilichomponza Rais Kikwete Dodoma

    La muhimu zaid wawatowe viongozi wa uamsho ndani wawe huru ishalah
Back
Top Bottom