Recent content by Mahendeka1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wahariri wampiga BAN Mkuu wa Mkoa wa Dar kwenye Media zote nchini

    Kwanza swala laukiukwaji Wa taratibu unao fanywa na Bashite ulianza kupigiwa kelele na Mh Zitto kabwe na aka sema huyu kaanza na Wasanii akitoka huko ataanza na Wa Bunge watu wakapuuza punde akaanza na Wa Bunge watu waka shabikia tena hata hao clauds sasa unapo mdekeza mtoto IPO siku atakuvua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tunaelekea wapi?

    Kutokana na mambo ya mkuu Wa mkoa DSM hivi Rais anajua kilichotokea au?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Kitendo kilichofanywa na RC Makonda kimenajisi Tasnia ya Habari. Kamati yaundwa...

    Nape amesha okoka bado kuvishwa taji LA kaki big up Nape tunakupenda wanaukawa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Wanasisa wamefungwa midomo Mungu kamuinua Gwajima asimamie haki na ndicho kilichopo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Umri wa Lowassa una utata mtupu. Eti ni mdogo kwa Kikwete?

    Unashangaaa mini wakati Warioba mdogo Kwa Mkapa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani nchini mmeiona demokrasia ya CCM?

    Ccm katiba yake inasema hivyo vyama vyavupinzani still ndo vinakua lazma uweke Mwenyekiti mwenye fun base kubwa mwenye ushawishi kwamfano wewe saivi tukupe wenyekiti hata humutu jf watu hawakujui si Chama kitakufa so lazima ukae ukifikiria mbali xaidi
Back
Top Bottom