Recent content by MahedeMkorofi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wapinzani safari hii wameamua kubadili mbinu au huu ni mkakati tu wa kisiasa kuelekea 2020?

    Nadhani wapinzani wameamua kuwaacha watanzania sasa wajionee wenyewe, maana wao ndio walichagua haya matatizo.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini anatawaliwa na mawazo mabaya kila mara?

    Mwaka mmoja, kabla sijamuoa nilikuwa hivi hivi, tena nilikuwa mtu wa bata sana. Sasa hivi nimebadilika
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini anatawaliwa na mawazo mabaya kila mara?

    Nikiweka password kwenye simu yangu anahisi nimemuwekea yeye, kuna vitu namficha. Japo ameshapekuwa mara kadhaa bila kukuta kitu kibaya Nikichelewa kurudi nyumbani anahisi nimepitia kwa michepuko Akikuta picha ya mwanamke kwenye simu yangu, anahisi ni mchepuko wangu. Nikiwasiliana na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Makonda: Pale ofisini kwangu nina wasaidizi 120, lakini najivunia 4 tu, wengine ni mizigo..!

    Najaribu kuwaza hao wafanyakazi wanne ni wapi, Dereva, Msaidizi wa mkuu wa Mkoa, RAS.......
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe utakumbukwa kwa kuharibu maisha ya vijana wengi

    Mwokongi hata kwenye industry amepotea kama ACT
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe utakumbukwa kwa kuharibu maisha ya vijana wengi

    Baada ya Moses Machali kurudi CCM leo, nimejikuta nasikitika sana, nimejikuta nawakumbuka vijana wengi sana ambao kama sio kushikwa akili na Zitto Kabwe huenda leo wangekuwa mbali sana, lakini baada ya kurubuniwa na Zitto, sasa hivi wameshapotea kwenye ramani. Yuko wapi Adam Chagulani...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwani kuna tatizo mwanamke mwenye umri mkubwa kuolewa na mwanaume mwenye umri mdogo?

    Tatizo lipo, japo huwezi kuliona wakati wa uchumba, ukishamuoa hakuna rangi utaacha kuona.
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini maana ya wadada wa siku hizi kutundika nguo za ndani maeneo ya wazi?

    Unaweza kuanika nguo juani huku ukiwa umeificha hata kwa kanga juu yake, lakini ishu sio tu kuanika pia kuna tatizo la kuiacha nguo kwa muda mrefu huku inaendelea kutundika na nyingine kama kabatini vile.
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini maana ya wadada wa siku hizi kutundika nguo za ndani maeneo ya wazi?

    Yani ukipita kwenye nyumba za kupanga utakuta chupi za akina dada wamezitundika kwenye Kamba za nje bila aibu, tena wengine wanaweza kuziacha hapo hata siku tatu. Ukienda nyumbani kwa mtu ambayo hawana room self contained, utakuta kwenye bafu la public kuna chupi nyingi zimetundikwa, yani...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuota ni hatari kuliko kuua?

    Kuna vitu vinatia hasira sana, wanashindana na maono
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini kumaliza tatizo la mawasiliano kwenye ndoa yangu?

    Yani tendo la ndoa tukifanya basi mara zote mimi ndio muanzilishi, na wakati mwingine huwa nakuta kweli na yeye yupo kwenye hitaji, lakini wakati mwingine hana hayo mawazo kabisa, sasa najiuliza ni wakati gani yeye anahitaji?
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini kumaliza tatizo la mawasiliano kwenye ndoa yangu?

    Ha ha ha ha ha, usawa mbovu huu.
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini kumaliza tatizo la mawasiliano kwenye ndoa yangu?

    Wewe unafanyaje?
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini kumaliza tatizo la mawasiliano kwenye ndoa yangu?

    Kivipi boniface salim
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini kumaliza tatizo la mawasiliano kwenye ndoa yangu?

    Ninapotaka kugegeda yeye hana time, tena ukimgusa ni matatizo. Ukimkera sana anakupa lakini utakukuruka wewe mwenzako hayupo kabisa. Wakati mwingine unataka mwenzako yuko busy na Tamthiliya, akitaka yeye inabaki kuwa siri yake na mwili wake, yani hasemi chochote, hata ishara hakuna...
Back
Top Bottom