Recent content by mahasa

  1. mahasa

    Waliosoma Musoma technical high school

    Mi naitwa David William, nimemaliza advanced level musoma technical secondary school 2010, nilikuwa nikiishi bweni la amri abeid.
  2. mahasa

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi mwalimu wa sec nipo wilaya ya missenyi kagera nahitaji kubadilishana na mtu kwenda mwanza jiji, ilemela , nyamagana mawasiliano 0762529294 au 0683420084.
  3. mahasa

    Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    Nimetafakari sana kuhusu suala la kufeli kwa wadogo zetu limekua janga kubwa, hivi serikali inamaon gani kuhusiana na swala hili na nini kifanyike ili kupunguza janga hili.
Back
Top Bottom