Recent content by mahahila

  1. mahahila

    DED wa Gairo ana kiburi na majivuno, Waziri Mchengerwa fuatilia hili

    Bila shaka hujawahi kukaa ofisini ukafanya kazi mpaka ukatumia pesa zako mfukoni, hulipwi stahiki zako na bado unafokewa na kutukanwa kama mtoto mdogo, haki za watumishi zinajulikana na huwezi sema watu hulipi stahiki zao lakini kiongozi kila stahiki yako unajilipa, yeye hawezi kufanya vizuri...
  2. mahahila

    DED wa Gairo ana kiburi na majivuno, Waziri Mchengerwa fuatilia hili

    DED Gairo amekuwa kiburi na majivuno, halipi stahiki za watumishi akisema mapato madogo lakini yeye kutwa safari na anajilipa, anatukana watumishi bila kujali umri maana wengine wamemzidi sana. Anambeza na kumdharau DC wa Gairo ikiwa ni boss wake. Waziri Mchengerwa fatilia hili, watumishi Gairo...
Back
Top Bottom