Recent content by Mahabey

  1. Mahabey

    Dunia inaniadhibu, nahitaji kuchukua maamuzi magumu

    Zingatia Utulivu wakati wa hatari📌
  2. Mahabey

    Swali, Youtube huwa wanalipa kutokana na nchi uliosajili chaneli yako?

    Ukiitaka pesa ya YouTube, kwanza kabisa chukulia kuwa YouTube ni Ofisi yako, Be serious na hiyo kazi.. yani ithamini, chukulia kua hiyo ni kazi rasmin kama zilivyo kazi nyengine! Usitegenee kupata mamilioni kwenye kazi usiyo-ithamini!
  3. Mahabey

    Swali, Youtube huwa wanalipa kutokana na nchi uliosajili chaneli yako?

    Umeongea kweli kaka! YouTubers wengi wa bongo wamekosa ubunifu na hawafanyi investment ya kutosha. Sio tu kuwekeza pesa, bali uwekezaji wa muda na maarifa ni muhimu mno ili kuwa youtuber mwenye mafanikio! Hapa tz asilimia kubwa ya YouTubers wanaigana, kila mmoja anadeal na entertainment, udaku...
  4. Mahabey

    Kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au kuwa winga wa bidhaa moja tu?

    Hili linaweza kueleweka tofauti kutokana na utofauti wa kiimani ila sahau yote zingatia hili kwanza👇 Ikiwa wewe ni Muislam! Zingatia sana uhalali na uharamu katika utafutaji wako wa riziki! Imekuwa ni kawaida sana kwa zama hizi kuangalia maslahi ya kidunia zaidi kuliko Akhera yetu! Uongo...
  5. Mahabey

    Kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au kuwa winga wa bidhaa moja tu?

    Doh! hii ndo inapelekea winga wanaonekana matapeli! Kwa style iyo hata mimi iyo kauli naunga mkono! Siwezi support dhulma!
  6. Mahabey

    Kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au kuwa winga wa bidhaa moja tu?

    Kila mmoja anaweza kuwa na mtazamo wake ila ishu ya uwinga sijaona kama ina tatizo lolote ikiwa uaminifu utazingatiwa! Kitendo cha kumsaidia mtu kupata bidhaa au huduma anayohitaji bila ya janja janja yoyote, Kwakuzingatia kanuni na sheria, naona hata kwa Muumba haina makosa! Binafsi sijajua...
  7. Mahabey

    Kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au kuwa winga wa bidhaa moja tu?

    Nasemaje! Changamoto popote zipo, Kikubwa ni kukomaa tu, ndio maisha yalivyo! Mkuu nadhani umenielewa sasa!
  8. Mahabey

    Kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au kuwa winga wa bidhaa moja tu?

    Ni kukomaa tu! Hakuna senti inayoingia mfukoni bila kupitia changamoto. Changamoto utazielewa vizuri pindi utakapokuwa kwenye mchakato!
  9. Mahabey

    Kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au kuwa winga wa bidhaa moja tu?

    Ikiwa lengo ni kupata initial income kwa ajili ya kukidhi mahitaji madogo madogo naona ni bora ku-focus na bidhaa moja au niche, kwa mfano phones and Accessories au Home appliances. Iyo itakupa urahisi wa kujibrand na hata kueleweka/kuaminika! Naona si vyema kuchanganya bidhaa ikiwa ndo kwanza...
  10. Mahabey

    Kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au kuwa winga wa bidhaa moja tu?

    Hata linapokuja swala la ku-make trust inakua ni rahisi tofauti na unapochanganya changanya bidhaa! Thanks a lot man!
  11. Mahabey

    Kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au kuwa winga wa bidhaa moja tu?

    Well described, shukran sana brother kwa ufafanuzi
  12. Mahabey

    Kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au kuwa winga wa bidhaa moja tu?

    Doh! Nadhani wengi wanaharibu pale wanapoutumia uongo kurubuni, ila kama utakuwa mkweli naona haina tatizo!
Back
Top Bottom