Recent content by mah

  1. M

    Imethibitika: Kahawa huwaongezea wanawake ashiki ya kujamiiana..!

    kahawa ni kahawa tu iwe ya vijiweni au ya ktk makopo unayodhani ndio bora.yote kahawa tu tena ogopa kahawa ya vijiweni maana haina chemical.lakn kahawa haiongezi ashki ila inakata usingizi na kukufanya ukeshe ktk maswala yale na si vinginevyo
  2. M

    Diamond tena, mpenziwe amsamehe baada ya kucheat na Irene UYOWA

    sioni kama kuna tatizo kama ambavyo mmoja kasema.cha muhimu usalama uwepo.maana wote hao ni watu wazima kama wakiamua kufanya jambo nani wa kuwazuia.japo binadamu nahisi sasa tunakuwa kama wanyama.maana kama mungu alitutofautisha na viumbe wengine kwa kutupa ufahamu wa kujua baya na zuri.lakn...
Back
Top Bottom