wewe ndio unajitoa ufahamu swali lilikuwa aliwafanyia nini walimu wakati akiwa waziri na jibu ni kuwa aliwachangia walimu pesa, sasa nani anayetijitoa ufahamu mbona hueleweki?
unajua kuna watu wapuuzi sana nimegundua hivi unadhani viongozi wote wa ukawa wana akili ndigo kama mtoa maada? juma duni amekabidhiwa kadi ya chadema yenye namba 258399 ya tarehe 02/08/2015. usidanganye watu we fuatilia mambo kama asingekuwa mwanachama wa chadema asingejiudhuru nafasi zake zote...
Unajua ndugu yangu waanzilishi lazima kwanza waweke misingi ya chama mara baada ya kuingia madarakani huwezi kuanzisha chama halafu uchaguzi mmoja tu umefeli na kuacha kugombea utakuwa sio kiongozi imara kwani uongozi unaendana na nini mawazo na msukumo wako baada ya kushika dola.
Angalia kule...
hapa lazima mjaribu kuliangalia kwa mapana suala hili wala msilete ushabiki wa kidini hapa kama mtu ni mtuhumiwa mnataka aachiwe kiulahisi ili iwe iweje? acha sheria ifuate mkondo wake kama mtu anajihusisha na ugaidi wa kumaliza wenzake kwa tindikali kwa nini aacjiwe? acha waendelee kusota...
hapa lazima mjaribu kuliangalia kwa mapana suala hili wala msilete ushabiki wa kidini hapa kama mtu ni mtuhumiwa mnataka aachiwe kiulahisi ili iwe iweje? acha sheria ifuate mkondo wake kama mtu anajihusisha na ugaidi wa kumaliza wenzake kwa tindikali kwa nini aacjiwe? acha waendelee kusota...
aliyekuwa naibu katibu wa zanzibar kwa chama cha demokrasia na amendeleo(chadema) ndugu hamad yusuph kung'atuka uongozi ni uongo. source- mwananchi
ukweli ni huu.
huyu hamad yusuph ni kweli alikuwa naibu katibu wa chadema kwa upande wa zanzibar lakini mwezi wa tisa yaani september cama...
wanajanvi naomba mwenye ile interview aliyoulizwa swali mkulu kuhusu umasikini wa tanzania pamoja na kuwa nchi iliyojaliwa neema ya rasilimali nyingi naomba aiweke hapa, kwani mkulu alijibu kuwa hata mimi sijui tanzania kwanini ni masikini. nawasilisha
huo utafiti sio wa kweli wapo watu wamelelwa na wazazi wote wawili wanapata shida sana tu, kuhusu shule kwamba hawana uwezo pia sio kweli, mahusiano nayo sio kweli peleka uppuzi wako huko tafiti gani hiyo wapelekee kijijini kwenu hapa haina point
kwani hujasikia Dr. slaa alisema kuwa jk aliwauliza vijana wake slaa amepata wapi taarifa hizi kwa hiyo hadi jk anajua kuwa Dr. anataarifa hizi sasa wakanushe kwa lipi wakati kweli? Dr. siku zote huwa habahatishi anachokisema
unajua wewe kweli huna akili hata kidogo na hujui kupambanua mambo umeambiwa kuwa wakati wa kushirikiana pamoja utasainiwa na baada ya hapo ndio utaona hata wanazunguka pamoja kwa sasa kila chama bado kinaendelea kunadi sera zake na kuwaelimisha wananchi kuhusu katiba ya maharamia maccm, na...
huyu nae hana lolote najifagilia tu, anatafuta kuungwa mkono katika mbio za urais mwakani ndio maana amepewa tenda na wizara ya elimu kwa nchi nzima ili akusanye pesa za kuwahonga wajumbe dodoma mwakani huyu nae kwa rushwa ni damu damu kwanza sijui hii tenda kapewa kivipi wala haikutangazwa japo...
kusini wana akili sana naona wamewaamsha hata wasukuma siku moja wataona umuhimu wa kudai zahabu ya kanda ya iwanufaishe wana kanda ya ziwa, tatizo la wasukuma kila kitu nduhu tabu hata kama mtu anapingu mkononi wao poa tu wana msemo usemao maguzu masese, eti nguvu zipo tu haziishi hawa jamaa...
jk alisema kila jambo lina wakati wake, jaji warioba aliona sasa ni wakati kwa watanzania kupata katiba bora na yenye lengo la kuinufaisha nchi na watu wake lakini sita na wenzake wakaamua kupindisha kwa makusudi ili walinde masilahi ya wakubwa zao na hili limejizihirisha. sasa niwakati kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.