Hata mjadala wenyewe kwa sasa hauna tija maana kinachopitishwa hakitekelezwi na malaika wa Mungu mengi sana yaliyo fanyika mwaka wa kibajeti unaoishia yaliamuliwa nje ya mfumo wakibunge
Badae tungejua huja, hata sie ambao bado hatujaguswa tutaingia kwenye mkumbo mambo yatakapo kuwa magumu, naiman tuna viongoz wenye hekima ndan ya taifa letu tumekuwa mahili kusuruhisha ya ng' ambo kwetu mbona hakupo sawa watusaidie basi kutatua huu mzozo kwann tusubir balaa linalo kuja chonde...
Nadhani sasa tumeanza kufika mahala pazur presha ipande hatimaye maamuz yatafanyika, refa anampango wakuharibu mechi rafu wanachezewa wao nakadi zinaelekezwa huko pia
Hatar haya mambo leo kwao kesho kwetu tusijione kama tupo sana tukawa tunakenua nakuachia tabasamu tukidhani wao ni wao na ss ni ss badala yake tumwombe Mungu atunusuru na haya yanayoendela
Kwahiyo kumbe nikweli ilizuiliwa sasa walikuwa wanarukaruka nn halafu leo eti mapoyoyo walewale walio kuwa wanakanusha wanashangilia kuna siku mtashangilia hata msumar ukiingia makalion
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.