Baada ya matokeo ya Tume iliyoundwa na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kutoa matokeo yake mwanzoni wa mwezi wa kumi (October, 2013) imegundulika kuwa zaidi ya wahitimu 20 wa digrii za awali (Undergraduate) walitunikiwa kimakosa baada ya kuchakachua. Kasfa hii kwa sasa imemlazimu mkuu wa Chuo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.