Recent content by magotijuly

  1. M

    JamiiForums Naomba ushauri

    Amini napenda watoto kutoka moyoni mwangu thats sifurahii maisha anayoishi yule mtoto natamani hata saa hii aje me am ready
  2. M

    JamiiForums Naomba ushauri

    Mbona ma house girl wamejaa kwann nimfanye hivyo mtoto wa mwenangu? wkt na mm ni mwanamke? je wakwangu akifanyiwa hivyo mm nitafurahi unadhani?? wala sina hizo fikra nahitaji mtoto apate haki yake yake ya msingi elimu ambayo itakuja msaidia baadae, na kutoa kwenye shida
  3. M

    JamiiForums Naomba ushauri

    So kama tukionana na wanasheria wanaweza solve hii??
  4. M

    JamiiForums Naomba ushauri

    Mimi ni binti wa miaka ishirini na saba, nina mpenzi lkn mpenzi wangu huyu aliwahi kubahatika kupata mtoto na msichana mwingine alitengana na mtoto kama mwaka mmoja, mama wa mtoto alimchukua mtoto akampeleka kijijini kwako upareni, kilichopo yule mtoto anaishi mazingira ya ajabu maisha magumu...
Back
Top Bottom