Recent content by Magingil Magingila

  1. Magingil Magingila

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi wa Umma kwa mwezi Machi

    Huko sekta gani?
  2. Magingil Magingila

    JamiiForums Tanzania Je, Ni kweli magereza ya Tanzania yamefikia hali hii?

    Vp na huko sero wanawatenga kulingana na makosa au wanachanganya tu? Yaani waweza kuwa na wenye makosa ya ujambazi/uaji mkawa pamoja. Nijuze mkuu
  3. Magingil Magingila

    JamiiForums Tanzania Je, Ni kweli magereza ya Tanzania yamefikia hali hii?

    Aise pole sana
  4. Magingil Magingila

    JamiiForums Tanzania Joto Dar

    Ndugu wana jf vipi hii hali ya joto la hapa jiji Dar es salaam! Imekuwa ikiongezeka siku hadi siku. Tatizo ni kukosekana kwa mvua? Au ndo mabadiliko ya tabia ya nchi kiujumla katika dunia? Mwenye weredi katika hili tujuzane
Back
Top Bottom