Recent content by magimbi55

  1. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Kikwete amtembelea aliyemwagiwa tindikali

    kwani huyo si mwananchi wake''rais ni kiongozi wa nchi nzima na watu wake sio wasomi tu au wakulima but wananchi wote walio piga kura kumchagua yeye....kwa hio kama kaenda kumtembele jamaa msilalamike sana,....vile vile inaweza kuwa out of work kwani rais atakiwi kuwa na marafiki jamani?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Karipio la J.K.Nyerere 1965 dhidi ya USA na Karibisho la J.M.K dhidi ya USA 2013

    nyerere was the best sema hakuwa na ma advicer wazuri wa kiuchumi au akuwasomesha wengi.....you can not be good on everything lazima sehemu nyingine uwe mbaya ,kwa hio zile sehemu mbaya alitakiwa awatafute au somesha watu wamsaidie......at that time yeye ndio alie kua anaona mbali mpeni sifa...
Back
Top Bottom