Recent content by mageuzi2015

  1. M

    Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    ahsante Mwenyezi Mungu Zidi kutupigania sisi wanyonge, Mafisa hawa mioyo yao ni Migumu mithiri ya Mawe, zidi kuilainisha iyeyuke kabisa. NI HABARI NJEMA HII .
  2. M

    TAMWA, TGNP, LRHC wamucharukia professor Juma Kapuya

    Tamwa TGNP na nini sijui, siamini km mnaweza kuungana na kutoa tamko laini namna hii, jamani Watanzania hapo ndio mjue hamna pa kukimbilia kwa matatizo yenu. Muombe wenu awapiganie.
  3. M

    Azzan: Nitajiuzulu ikibainika nauza dawa za kulevya

    Jamani hii barua inadaiwa kuandikwa na kijana aliyekamatwa huko chaina, Vyama vya upinzani vina vyanzo vizuri sana vya habari nyeti, na hata vina watu makini na wenye taaluma mbali mbali, na huyu aliyetuhumiwa ni mtu anayeshikilia wadhifa muhimu sana ktk jamii, ni fedhea na aibu kwa Taifa zaidi...
Back
Top Bottom