Tunanunua mayai ya kienyeji kwa wingi
*yawe yanakiini cha njano yaani kuku wawe wanalishwa mbogmboga kwa wingi
*mayai yasiyozidi siku nne toka yametagwa.
call/sms/whatsap 0659767196
Hapo ni kumshauri au kumpotosha
anunue simu ili imsaidie nini
mshauri mambo ya maana so kumkatisha tamaa
kama ww umeshindwa acha wengine wafanye watatoka tuu.
Offer offer offer
vifaranga vya bei bora wa kuku wa kienyeji wa miexi miwili vinapatikana kwa sh 6000
*wamashapewa chanjo zote za mwanzo
*wanastahimili magonjwa
*huhitaji muda mwingi kuwaangalia
*wanakua haraka
*wanaanza kutaga wakiwa na miezi mitano.
Tunapatikana barabara ya Akachube...
Tunauza vifaranga wa kienyeji kwa bei poa kuanzia 2000-5000 karibuni sana pia utapata elimu kuhusu ufugaji na faida zake
tupo kijitonyama dar es salaam
call/sms/whatsap 0659767196.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.