Recent content by Magenyaso

  1. Magenyaso

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Misungwi Mwanza lina ongozwa na chama gani kwa sababu wananchi wa jimbo hili wana shida sana ya miundombinu kama vile maji umeme na barabara

    Jimbo la misungwi tunaishi kwa neema tu hatuna mbunge anafunga ndevu tu
  2. Magenyaso

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson aache upotoshaji, Kiti cha Naibu Spika kiko wazi kikatiba

    ''Una akili nimeelewa sana''ubarikiwe
  3. Magenyaso

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Rais haifai hata kwa safari za humu ndani ya nchi?

    Tunawaonesha mabeberu kwamba tuna ndege mpya tulizo nunua cash sio kwa mkopo
  4. Magenyaso

    JamiiForums Tanzania Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

    Yaani ccm kuna wakati hawana maono ya baadaye kabisa lakin inauma sanaaaaaa wachache ndo wanafaidi mungu atutangulie kuna wakati makabuli yao yatapingwa mawe kwa sababu yao na kizazi kinachokuja
  5. Magenyaso

    JamiiForums Tanzania Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?

    Viongozi hawawazi shinda za wananchi lakin wanawaza uchunguzi wa 2025 ni aibu sana ,vijijin hakuna umeme ,maji ,hospital na madawa,watoto wanaenda peku mashulen ,wafanya Kazi mishahara haiongezek
  6. Magenyaso

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde wastaafu wenzangu, NSSF, PSSSF, nk.

    Tarehe 10 /1/2022.usajiri unaanza
  7. Magenyaso

    JamiiForums Tanzania Team Rais Samia H. tupo nae, tutamlinda na kumtetea popote!

    Viongozi wanafiki sanaaa
  8. Magenyaso

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Ofisa gani wa Serikali ya Tanzania aliyezuia Utajiri wa Makonda kuchunguzwa?

    Viongozi wengi hawakanguliwi utajiri wao sijui kwa mini??
  9. Magenyaso

    JamiiForums Tanzania Hii miradi siyo ya Hayati Magufuli, ni ya nchi. Waziri Makamba kuwa makini sana

    Kama JPM aliandaliwa kutekeleza miradi imekuwaje kawa mjinga???mwanzoni umeelez vzri lakin mwishoni umeharibu ,thanks kwa akili yako dgo.
  10. Magenyaso

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujitengenezea|Kujijengea heshima kwa watu wanaokuzunguka

    Nimekuelewa vile thanks kwa content yako
  11. Magenyaso

    JamiiForums Tanzania Nge waua watu Misri

    Poleni misri
  12. Magenyaso

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwa mwanasiasa,nishaurini!

    Mshauri umefeli
Back
Top Bottom