Likizo ni haki ya mtumishi,vilaza kama hawa ndio hawatakiwi kwenye serikal hii ya mh magufuli!falsafa ya hapa kazi tu haitowezekana kama watumishi hawatapewa muda wa kupumzka!
Hizi chokochoko za udini hazifai na tunatakiwa kuziogopa kama ukoma!Dau amekua mkurugenzi wa NSSF kwa muda mrefu sana na tuhuma hizi zimekua zinatolew mara kwa mara je vyombo vinavyohusika hususan usalama wa taifa hawaoni?ukianza kuangalia taasisi moja moja mambo kama haya yapo na imani moja ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.