Recent content by MAGATA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dactari na mama mjamzito

    Mjamzito alikwenda hospitali akakutana na dactari aliyegoma, mazungumzo yakawa hv; Mjamzito:Dr mtoto hachezi tumboni tangu juzi nifanyeje? Dactari: Meza kitenesi na filimbi,ukiona bado hachezi meza kadi nyekundu atoke nje.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

    wauza chips,wauza vyakula chuoni,wavuvi wa kigamboni....
  3. M

    JamiiForums Tanzania Enzi za uchumba wetu

    mm! napit tu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wivuuu....

    Hahahahahaha...................................................No comment men!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nishikie nyumba

    Hilo nalo neno!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Cheka unenepe

    Wounderfull
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kama una hamu ya kutukanwa :

    mateja mbona hamuwasemi?........................................................................
  8. M

    JamiiForums Tanzania Beauty of Math

    Hapo kimyaaa! hakuna atakaye bisha
  9. M

    JamiiForums Tanzania Impressing a girl..!

    Wawooooooooooooooooooooo.......................................................................................................................................
  10. M

    JamiiForums Tanzania MIfeprex

    Acha utani,GOOGLE utapata jibu,ila kwa kumbukumbu za haraka haraka ;MIFEPREX is a progesterone receptor antagonist which is used as an abortifacient in the early months of prgnancy.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa madoa na mabaka mwilini

    Pole sana dada angu, Jaribu kutumia Retin A cream itakusaidia kwa tatizo lako.Nadhani inapatikana pharmacy au kwenye maduka ya vipodozi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada:Acharasia

    Acharasia? au Achalasia?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli usiposex mda mrefu unaumwa kiuno?????????

    Mhh..................sina swali mpaka usawa huu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa

    Nadhani atakuwa na Tinea cruris ambao ni ugonjwa wa ngozi unaosababishwa na fangasi na huwa unapendelea sehemu za nje za maeneo nyeti(groin regions, kama ulivo taja hapo juu) Naomba umshauri afanye yafuatayo; Aweke eneo husika kavu(dry),avae bukta za cotton zilizo nyoshwa na awe anabadilisha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nina Jipu kwenye paja

    Jipu(kwa lugha ya kitaalamu ABSCESS) ni mkusanyiko wa usaha ambao unaweza kutokea sehemu yeyote ya mwili.Hali hiyo mara nyingi huwa inasababishwa na maambukizo ya vijidudu aina ya bacteria ambavyo huingia sehemu ya mwili na kupambana na chembe za mwili(body cells) ambazo baadhi hufa...
Back
Top Bottom