Sawa, naomba kuulizia kulala kwenye hostel Kuna faida gani na changamoto zipi.
Hii nikiwa na maana kwamba hauna mtu kabisa ila unataka kutengeneza marafiki. Kwamaana ukilala hotelini kukutana na wenyeji wa maeneo inakua ni ngumu wengi wao wanaolala hotelini si wakazi wa maeneo hayo
Let say...
Salaam!
Katika kutafuta maisha Kuna kipindi unaamua kujitoa kinaga ubaga kutafuta maisha mbali na nchi yetu ya Tanzania Sasa unafikiria utaanzaje kutoka kwenda huko unaamua kujifunza njia za kutoka Tanzania ili kwenda kuona fursa mbalimbali Sasa moja ya njia hizo ni kupata mualiko wa mkutano na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.