Recent content by maganga deus

  1. M

    Phone4Sale Google Pixel 5a, 5G inauzwa bei nafuu

    E Exchange na Google 4 XL na 80k?
  2. M

    Natafuta Kazi ya translation (Kichina)

    Nenda kwenye viwanda vya wachina utapata Mfano, nenda Keds pale kibaha
  3. M

    EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

    Binafsi sizungumzii siasa hapa za uteam hapa nazungumzia hali halisi kama wanavyosema adui wa rafiki yako si adui wako hivyo hivyo hizi tozo kama ni za raisi aliyepita kama huzitaki kwann usiziondoe??
  4. M

    EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

    Sio sababu kubwa sana,, ilaumu serikali yetu kuweka tozo Kibao kwenye mafuta haya ndo madhara yake!!
  5. M

    Tax Management Officer II vs Custom Officer II

    Jamani mwenye hizo notes za tax management officer za kutupa mwanga tafadhali share na mimi through my email deosocialist@gmail.com
  6. M

    Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    mwaka huu hadi october ipite tutaona mengi na kushuhudia mengi !! anyway hivi kumbe mbowe lile shangingi alilolirudisha huko nyuma alilirudia tena ? vip na vyombo vyake vya habari vililirepot ? hivi hilo shangingi si plate no yake ni KUB mbona kuna sehem lilionekana kwenye mkutano wake ea chama...
Back
Top Bottom