Recent content by magambus

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zitto apokelewa kifalme Kigoma na kukabidhi Ambulance

    ha haaaaaa. chama cha kutimuana hicho.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zitto apokelewa kifalme Kigoma na kukabidhi Ambulance

    ukitaka kujua thamani ya mtu siku akikuondokea utaona wana bwabaja bwabaja. cdm inawauma hasa wanachama wa cdm. hawana la kufanya. lkn wanajua viongozi wao juu ya zito wamelikoroga. hawaambiliki.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto apokelewa kifalme Kigoma na kukabidhi Ambulance

    jembe zito. tuone kama mtafurukuta this time.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Zitto apokelewa kifalme Kigoma na kukabidhi Ambulance

    cdm msiba huo. jembe limeondoka. sasa mmebaki na wasio na upeo.
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Ikitokea CHADEMA Ikashinda Uchaguzi ikapewa Nchi, Je Hakuna Hatari ya Kugeuka Utawala wa Kidikteta wa Ajabu Kabisa? Nauliza Tuu!

    ha haaa. viongozi wa ghadhabu.... khalid wamempa magumi na wamemsingizia mambo lukuki. hao ndio cdm ghadhabu ltd.
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Ikitokea CHADEMA Ikashinda Uchaguzi ikapewa Nchi, Je Hakuna Hatari ya Kugeuka Utawala wa Kidikteta wa Ajabu Kabisa? Nauliza Tuu!

    cdm wa ghadhabu . wote wanaghadhabu.... sasa nchi itaendeshwa kweli ?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, uwezo wako wa kisiasa katu hautakwisha kwa kuenguliwa, taifa linakuhitaji

    kwa kweli ccm kwa sasa hamna.msafi. zitto asimame ccm.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, uwezo wako wa kisiasa katu hautakwisha kwa kuenguliwa, taifa linakuhitaji

    HAPO NAKUPONGEZA.MIA.KWA MIA. ZITTO CCM MSIMAMISHENI. > zitto kama ulikua.na fikra zingine.futa. nenda ccm kasimamishwe ugombea wa urais. mtoto wa zuberi kabwe. kipenzi cha wanyonge tz.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    ukitaka kujua kina wenyewe. jaribu kukosoa viongozi wa juu kitaifa . utaitwa msaliti.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    Cdm ni mali ya mtei.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtei: Zitto Hahitajiki ndani ya CHADEMA, Uamuzi wa Kamati Kuu ni wa Mwisho!

    zito hafananishwi na mamluki wote waliopo cdm. wote walobaki cdm ni watu wa chuki, uroho wa madaraka. ZITO MACHINE .
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri mkutano wa hadhara wa Freeman Mbowe mjini Shinyanga!

    Muache apigwe na jua tu. Nchi ina wenyewe bana.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri mkutano wa hadhara wa Freeman Mbowe mjini Shinyanga!

    Huyo club bilicana ndio awe rais ? Mnakichaa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nape: Dk. Slaa ni Muongo na Mzushi aliyebobea

    C cm chama pekeee. Ukweli .ni huo.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nape: Dk. Slaa ni Muongo na Mzushi aliyebobea

    Mkileta fujo mtapigwa tuuu.
Back
Top Bottom