Recent content by magabelab

  1. magabelab

    Kutumia akili unde kusikiliza redio na kutuma taarifa muhimu kwenda Whatsapp group.

    Unaweza kutumia hayo maandishi ku create content za habari, michezo, udaku etc, ambazo zinaweza kuonekana kwenye website . AKILI UNDE inasikiliza redio ina generate taarifa ,inapost kwenye website.
  2. magabelab

    Kutumia akili unde kusikiliza redio na kutuma taarifa muhimu kwenda Whatsapp group.

    Lengo: Kupokea sauti kutoka redio ya FM, kuichuja matangazo, kubadilisha sauti iliyobaki kuwa maandishi, kufupisha maandishi, na kutuma taarifa muhimu kwenye kundi la WhatsApp. --- ### Sehemu ya 1: Vifaa na Mahitaji (Hardware and Software) #### Vifaa (Hardware): 1. Arduino Uno: Hiki ndicho...
  3. magabelab

    Boya: mjuaji wa tech za majuu,

    .
  4. magabelab

    TZ Mobile Number Lookup, App inayokuwezesha kutambua namba ni ya mtandao gani kwa urahisi zaid

    Sawa ila wengine muda wa kuweka kichwan hayo ma-namba hatuna. , alafu ni namba 3 sio nne
  5. magabelab

    TZ Mobile Number Lookup, App inayokuwezesha kutambua namba ni ya mtandao gani kwa urahisi zaid

    Huwa natumia mimi sana, kwani haikuombi permission yeyote ,app kama True caller inaitaji permissions hivyo contacts zako zote jamaa wanazo
  6. magabelab

  7. magabelab

    TZ Mobile Number Lookup, App inayokuwezesha kutambua namba ni ya mtandao gani kwa urahisi zaid

    Sawa mkuu,we ndio mzalendo kweli kweli ,tena namba moja, vya wabongo wenzio huvitaki.
  8. magabelab

    TZ Mobile Number Lookup, App inayokuwezesha kutambua namba ni ya mtandao gani kwa urahisi zaid

    TZ Mobile Number Lookup ni aplikesheni inayokuruhusu kutambua papo hapo opereta wa mtandao wa simu anayehusishwa na nambari yoyote ya simu ya Kitanzania. Ingiza tu nambari, na programu itaonyesha opereta. Programu hii ni nyepesi na ya haraka.Ni chombo muhimu kwa mtu yeyote anayehitaji...
  9. magabelab

    Dating Website designer anahitajika

    Nitafanya hiyo kazi kwa 200,000/= Nitafute Magabe Lab
  10. magabelab

    Changamoto za monetization kwa wamiliki wa app

    Changamoto kubwa , watumiaji ni wachache. Kufikisha $1 inachukua ata miezi 4, bola ukauze juice tu maana mpaka kufikisha hiyo $100 😂😂😂.
  11. magabelab

    Naomba ushauri nisome programming language gani?

    Ndio Ndio mwanzoni ilikuwa inatumika sana frontend, baada ya nodejs kuvumbuliwa JavaScript sasa inatumika backend pia
  12. magabelab

    Naomba ushauri nisome programming language gani?

    Mimi nilianza na C, nikawa natengeneza console applications, nikahamia C++, nikaanza kutengeneza GUI desktop application. Kipindi hicho nikajifunza Database technologies sana sana SQL database.Kisha nikaja kwenye web technologies nikajifunza PHP, HTML, CSS na JavaScript. 11+ years later...
Back
Top Bottom