Wasiyo itakia mema tanzania ndo hao wanaanza kuonekana kwan si jambo la busara kwa watu wanaojiita wasomi kuja na idea kama hii ya kupunguza viwango vya ufaulu baada ya kuboresha mfumo mzima wa elimu. An hata kwa kuweka A itaanzia 50 bado itakuwa majanga matupu
Kutokana na kuuzwa kwa kampuni kongwe nokia kwa microsoft je kampuni hilo kubwa litaendelea kutengeneza simu ndodo ndogo mfano nokia 110 au ndo itadeal na production ya Simu kubwa tu mfano lumia 1020
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.