Recent content by mafinyofinyo

  1. mafinyofinyo

    Inasemekana Asad alikuwa anaisaidia Israeli kuwashambulia Iran na Hesbolah nchini kwake alipokuwa madarakani

    Israel ndio mwamba pale Middle East. Kitaifa kidogo lakini kinapeleka puta majirani zake
  2. mafinyofinyo

    Nani kaipa mamlaka Israel ya kuishambulia Syria?

    Kushambulia ni mbinu mojawapo ya kujilinda. Pia ameimarisha mipaka yake kwa kuchukua eneo la kimkakati kwenye milima ya Golan
  3. mafinyofinyo

    Israeli military attacked more than 250 targets in Syria: Report

    Anaendeleza kazi ya kuangamiza magaidi
  4. mafinyofinyo

    Gari inahitajika Land Cruiser Gx 105 mwaka 2002 mpaka 2007

    Kigoma ipi hiyo. Nipe connection nikafanye mambo
  5. mafinyofinyo

    Gari inahitajika Land Cruiser Gx 105 mwaka 2002 mpaka 2007

    Iwe ya diesel. Manual gear. Engine 1hz. Rangi nyeupe. Iwe katika hali nzuri both Engine na transmission bila kusahau body. Budget Mil 20
  6. mafinyofinyo

    Autoimmune disease

    It’s true, mimi pia waliniambia nna kiasi kikubwa cha protein kwenye damu yangu ila doctor wangu hakuniambia nipunguze wanga. Aliniambia nitumie diet ya kawaida
  7. mafinyofinyo

    Autoimmune disease

    Shida ni kula ngano tu ama vyakula vyote vya wanga
  8. mafinyofinyo

    Autoimmune disease

    Ahsante mkuu soon ntakupa mrejesho.
Back
Top Bottom