Nimetafuta sana haya mafuta, niliwahi kuyanunua kusema kweli ni mazuri mnoo hayana kemikali na ni asili hongereni nataka tena lita moja , mtoto wangu alipata changamoto ya ngozi baada ya kumpaka yale mengine lakini haya yalimsaidia sana.
Wakati Serikali ikiahidi kutoa kiasi cha Sh 200 Bilioni, kwa mikopo ya vijana, wanawake, na watu wenye ulemavu, baadhi ya Vijana na wanawake wamelalamika kuwa mikopo hiyo inatolewa kwa misingi ya itikadi za vyama huku wafuasi na makada wa CCM, wakiwa kipaumbele kwenye mikopo hiyo.
Mwandishi...
Pale Chama kuna Olymipic, KSK Oil, mbele yake hufika hata mita 20 kituo cha kujaza gesi hufiki tena hata mita 30 unakutana na kituo cha Oil Com , ukienda Kilwa Road Pale Mtoni mtongani upande wa kulia kama unakwenda Mbagala kuna vituo vipya viwili vimefuatana pale hata mita 0 hazifiki .
Hoja si kutokuwepo kabisa kwa vituo vya mafuta hoja hapa ni kukiukwa kwa sheria za mazingira kwa kujenga vituo vingi sehemu moja mfano wa hapo barabara ya Tandale pale Chama hazijafika mita 50 unapata vituo zaidi ya vitatu miongozo yetu inasemaje, kuna haja gani ya kuwa na sheria ?
Hoja si kutokuwepo kabisa kwa vituo vya mafuta hoja hapa ni kukiukwa kwa sheria za mazingira kwa kujenga vituo vingi sehemu moja mfano wa hapo barabara ya Tandale pale Chama hazijafika mita 50 unapata vituo zaidi ya vitatu miongozo yetu inasemaje, kuna haja gani ya kuwa na sheria ?
Picha: Akili Mnemba
Licha ya sharia na kanuni za mazingira na biashara ya mafuta kuweka utaratibu wa ujenzi wa vituo vya mafuta, kumekuwa na ujenzi holela wa vituo vya mafuta hususani kwa jiji la Dar es Salaam.
Sheria ya Mafuta Na. 21 ya mwaka 2015 inaipa nguvu EWURA, kusimamia shughuli za...
Kutoendelezwa kwa miradi mbalimbali jijini Dar es Salaam, iliyogharimu mabilioni ya fedha za umma kumetajwa kuwa ni ufujaji wa fedha hizo.
Mwandishi wa habari hizi ametembelea baadhi ya miradi ya vyoo katika Halmashauri ya Kigamboni, Ilala, Temeke, Kinondoni, na Ubungo.
Mamlaka ya Majisafi na...
Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Suleman Bungara, 'Bwege' amesema kuwa kitendo cha kufunga makanisa au kushambuliwa kwa viongozi wa dini hiyo kitendo hicho wangefanyiwa dini ya Kiislam kusingekalika
Bwege akizungumza na MwanaHALISI Digital alisema kuwa kitendo cha kufungia kingefanywa kwa...
Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Suleman Bungara, 'Bwege', ametoa wito kwa Watanzania kutoaingia kwenye mgogoro wa dini aliodai kuwa umeanzishwa na watu waliojawa na uroho wa madaraka ambao wamebuni silaha ya kufarakanisha wananchi kwa misingi ya dini ili kuendelea kulinda maslahi yao...
Wakazi wa Dar es salaam na maeneo ya jirani mkulima wa nazi keshafanya jangusho (mavuno) karibuni kununua nazi bora kwa bei ya jumla na rejareja tupo kinondoni jijini dar es salam tupigie +255 634 150 697 au 0673475225
Nunu nazi kwangu bei ya shambani jumla na rejareja
Tarehe 29 Oktoba 2025, Tanzania iliingia kizani kimawasiliano baada ya Mamlaka kuzima Mtandao wa intaneti (internet), upande wa pili Serikali ikidai kufanya hivyo kumeweza kuwadhibiti waandamanaji kuhamasishana kuandamana.
Kuzimwa kwa Mtandao kulisababisha madhara mengi kwa Wananchi ikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.