Recent content by Maelephant

  1. Maelephant

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Yamaha

    iko vyema, bei tafadhali
  2. Maelephant

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo moro nije Iringa
  3. Maelephant

    JamiiForums Tanzania Je ni sawa vyuo vya uwalimu kutoa astashahada badala ya stashahada?

    ufafanuzi kidogo, vp kwa wale ambao wameanza watalazimika kusitisha masomo?
  4. Maelephant

    JamiiForums Tanzania Je ni sawa vyuo vya uwalimu kutoa astashahada badala ya stashahada?

    labda wanaandaa vigezo vya kujiunga na hizo kozi
  5. Maelephant

    JamiiForums Tanzania Je ni sawa vyuo vya uwalimu kutoa astashahada badala ya stashahada?

    kuna waraka umetolewa tarehe kumi mwezi huu unaeleza hayo mabadiliko,
  6. Maelephant

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kutuma vyeti kwenda NACTE

    Asante Mr Kunambi
  7. Maelephant

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kutuma vyeti kwenda NACTE

    asante kwa ushauri Kiongozi
  8. Maelephant

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kutuma vyeti kwenda NACTE

    NACTE 26/08/2016 wamenitumia text kwenye email kwamba ni upload original certificate na Transcript, mwanzoni nili upload transcript pekee, kwa wataalam hapo niunganishe hizo mbili kwenye pdf moja? NB Nimeapply diploma in community development
  9. Maelephant

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuifahamu sekondari ya Lusanga

    Ipo sehemu nzuri tu.
  10. Maelephant

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kwa mwl ambaye anahitaji kuja mafia Idara ya sekondari, ili nije moro au songea ani PM
  11. Maelephant

    JamiiForums Tanzania Msomi Mtoa Rushwa

    teh teh teh kama viongozi waliopo ndani ya pccb wenyewe wanapokea rushwa iweje kwa mwl kutoa rushwa
  12. Maelephant

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hi! nipo Halimashauri ya Kigoma Kijijini natafuta mwalimu ambaye anapenda kufanyia kazi huku nami nije Dar, Pwani au Morogoro
  13. Maelephant

    JamiiForums Tanzania Sekomu

  14. Maelephant

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hellow JF kama kuna mwl yupo dar anataka kuja morogoro Municipal anitafute:israel:
Back
Top Bottom