Recent content by MAELEKEZO 007

  1. MAELEKEZO 007

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Nimesoma arts nimefeli math na engl naweza kusoma electrical installation level 1 hadi 3 na kuendelea i mean to become electrician mkubwa naomba ufafanuzi kidgo
  2. MAELEKEZO 007

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Wakubwa mi naomba ufafanizi kuhus course ya auto electronically nin nitajifunza nikisomea hiyo course na nitafanya kazi nikisomea iyo course naomba msaada wakubwa kwa anaejua kiundani hii course
  3. MAELEKEZO 007

    Naomba ufafanuzi kuhusu kozi ya Mechanical engineering

    Naomba ufafanuzi wakubwa kuhusu course ya auto electronic kiundani zaid kama nikisomea iyo course kazi gani naweza kufanya au nitakuwa mtu gani upande gani au nafas gani nikimalza kusomea
  4. MAELEKEZO 007

    Naomba ufafanuzi kuhusu kozi ya Mechanical engineering

    Kaka samahan naomba unifafanulie kazi ya hizo kiundani hili nijue kipi sahihi kusomea au kipi bora naomba unisaidie sijuh chochote kuhusu umeme ila napenda umeme nisomee
  5. MAELEKEZO 007

    Naomba ufafanuzi kuhusu kozi ya Mechanical engineering

    Nimemaliz 4m four Naomba kuuliza wakubwa nikitaka kusoma umeme vigezo gani natakiwa niwe navyo na hii kozi mwisho mwez gani wa kuchukua form. Naomba mnijuze wakubwa
Back
Top Bottom