Recent content by Madumbikaya

  1. Madumbikaya

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Msiba wa Spika Mstaafu Kongwa: Haijulikani ana wake na watoto wangapi?

    Ndoa ya kikristo haina story hizo za bi mkubwa na mdogo
  2. Madumbikaya

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Msiba wa Spika Mstaafu Kongwa: Haijulikani ana wake na watoto wangapi?

    Labda kama Mheshimiwa alibadili dini na kuwa muislamu ,Lakini kuna wakati alisema yeye alikuwa mshauri mpaka wa Askofu Na ninavyowajua ndugu zangu akina Mmasy sijui kama Dkt Fatuma ataweza mpambano
  3. Madumbikaya

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Msiba wa Spika Mstaafu Kongwa: Haijulikani ana wake na watoto wangapi?

    Labda kama Mheshimiwa alibadili dini na kuwa muislamu ,Lakini kuna wakati alisema yeye alikuwa mshauri mpaka wa Askofu Na ninavyowajua ndugu zangu akina Mmasy sijui kama Dkt Fatuma ataweza mpambano
  4. Madumbikaya

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Msiba wa Spika Mstaafu Kongwa: Haijulikani ana wake na watoto wangapi?

    Kongwa Dodoma,Mtoto wa kwanza wa marehemu aliyejitambulisha mbele za vyombo vya habari aitwae Catherine ameulizwa na Ayo TV ana wadogo wangapi amesema hana uhakika wapo wangapi lakini amekiri kuwa yeye aliambiwa na baba yake alimpata akiwa chuo cha wanyamapori Mwika Cha kushangaza kuna Mama...
  5. Madumbikaya

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai unataka Lissu afe?

    Mmmh
  6. Madumbikaya

    JamiiForums Tanzania Poleni sana Wabunge wa Covid 19

    Mmmh
  7. Madumbikaya

    JamiiForums Tanzania Kenya Chan Competition:Kila mchezaji na benchi la ufundi wavuna Kenyan Tsh 0ne million

    Baada ya timu ya Taifa ya kenya kuwafunga goli moja DRC ,Rais Ruto ametoa kwa kila mchezaji zaidi ya milioni ishirini Kila mchezaji na benchi la ufundi ataondoka na hela ya kenya KSH milioni moja sawa na shilingi milioni ishirini za kitanzania Hapa Tanzania goli moja ni milioni kumi ,ukigawa...
  8. Madumbikaya

    JamiiForums Tanzania Ndugu wadau wa JF, Msione nipo kimya, ni ubize na u serious wangu tu kwenye kampeni kura za maoni CCM, Msichoke kuniombea

    Ahaaa,Acha kujifariji wewe,Tafuta pesa Haya ni makosa ya vijana wengi sana kutofanya kazi na kupiga soga mitandaoni , Wewe huna pesa ,Unaongea mambo ya siasa kujifariji tu Ahaaa kuna vituko sana nchi hii
  9. Madumbikaya

    JamiiForums Tanzania Picha Hizi Za Mateso Ya Watoto Kutoka Gaza Zimenibubujisha Machozi ya Huzuni .Watanzania tutunze Amani na kuwalaani wanaotaka kuchochea Machafuko

    Ok Wewe ni mjinga hujui habari za kimataifa.Kuna shida kubwa sana kwenye mfumo wetu wa elimu ya darasani.Cha kusikitika ni kwamba wewe mleta mada yawezekana umemaliza chuo kikuu lakini bado umejaa ujinga Lengo la kupeleka watoto shule ni kuondoa ujinga waweze kupambana na mazingira...
  10. Madumbikaya

    JamiiForums Tanzania Kuna Timu safari hii imekosea (imechemka) sana katika Usajili wake na itakuja kupata Mafanikio kwa nguvu za Wabunge wenye Kuogopwa na TFF

    Wamesajili wazee kama msimu uliopita,walisajili Wazee Pacome,Aucho,Chama na Mzize Yanga wajinga sana walisajili wazee halafu simba akawachangia pointi 6 za ligi Simba ni tawi la Yanga
  11. Madumbikaya

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nusu ya Baiskeli za Mama zilizogawiwa kanda ya ziwa zimeharibika na hazifai tena

    Mmmmh unajiamini kitu gani mkuu,Hujafa hujaumbika Unaweza ukapata ajali anytime na ukawa mlemavu maisha tena bora jamaa anatembea wewe unaweza jikuta huna viungo kadhaa na unatambaa tu
  12. Madumbikaya

    JamiiForums Tanzania Kama Humphrey Polepole Yupo Nchini ajitokeze na siyo kujificha ficha Ugenini na kudanganya watu kuwa yupo nchini

    Una undugu na polepole,Unapaswa kumuulizia Baba au Mama yako waliokuzaa Hivi mtu na akili zako unawezaje kufuatilia mambo ya Familia nyingine
Back
Top Bottom