MJ JOHN.
Inawezekana sawa nikawa mtoto lakini mkumbuke kuwa hiyo ni namba tu lakini na may be Kuna mtu anaumri mkubwa kunizidi lakini hawezi kufikiri kama ninavyofikili na hii akili niliyonayo naamini nimepewa na Mungu Kwa sababu maalumu duniani
TAKE NOTE.
Fikiri kabla ya kutenda
Tenda baada...
Mj John.
Kiukweli kutoka moyoni Asanteni sana Kwa ushauri wenu najua ninyi SI watoto ndio maana nikaomba ushauri kutoka kwenu
Kuomba ushauri Kuhusu kutafuta pesa sio kwamba nitafeli shule may be Kuna mipango nimeipanga mikubwa kuliko hata watu Wanavyozani lakini changamoto ninazopitia...
Kwa jina naitwa MJ John
Ninaishi Bariadi Simiyu na wazazi wangu. Umri wangu ni miaka 17 Ninasoma kidato Cha nne na mwaka huu namaliza elimu yangu ya sekondari, lakini nakabiliwa na changamoto ambayo inanitatiza sana . Nyumbani ninapo ishi baba na mama Huwa hawaelewani Huwa wanagombana sana tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.